CHATANDA AMMWAGIA SIFA SOPHIA MWAKAGENDA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Shika Foundation, Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda kwa kuandaa kongamano kubwa la Wanawake wafanyabiasha wadogo wa mbogamboga na matunda wa Mkoa wa Dodoma lilofanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203