CHATANDA AMMWAGIA SIFA SOPHIA MWAKAGENDA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Shika Foundation, Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda kwa kuandaa kongamano kubwa la Wanawake wafanyabiasha wadogo wa mbogamboga na matunda wa Mkoa wa Dodoma lilofanyika hivi karibuni  kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

Comments

Popular posts from this blog

Utekaji watu sasa wahamia kwa wachungaji, makanisa.

Takukuru Kagera kuchukua hatua dhidi ya Rushwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa.